Ellimu Dini ya KiislamuNo Comments

1.Mafundisho ya mtume (s.a.w) yako hai na yamehifadhiwa kwa ahadi ya Allah (s.w), Pia sunna zake Mtume Muhhammad (s.a.w) zimehifadhiwa kikamilifu kiasi ambacho mtu anaweza kujua bila shaka yoyote ni yep mafundisho ya mtume juu ya jambo Fulani na yepi ambayo Mtume (s.a.w) kazuliwa (15:9).

2.Mwenyezi Mungu amakamilisha mwongozo wake kwa nabii Muhhammad (s.a.w) na hivyo uislamu ni dini (mfumo) wa maisha kamilifu kwa walimwengu wote. Mwenyezi Mungu anathibitisha hili katika Qur-an (5:3)

3.Mtume Muhhamad (s.a.w) hakuletwa kwa taifa au kwa watu maalum bali kwa walimwengu wote (7:158)

Be the first to post a comment.

Add a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

error: Content is protected !!