swahiliNo Comments

Jawabu.

Mofimu ni kipashio kidogo cha lugha chenye maana ya kisarafi au kitaksia ambacho hakiweI kuvunjwa zaidi kikaweza kuleta maana. Mofimu huru in aina ya mofimu ambazo huweza kusimama kama neno lenye maana inayojitosheleza.

Mofimu huru hujulikana kama mofimu za kitaksia huhusisha Yale maneno ambayo hayawezi kuvunjwa zaidi yakabaki na maana, kwa mfano data, radio, meza, wewe, nk maneno haya hubeba maana yabapitumika pekee na pale yanapogawanywa zaidi hupiteza maana.

Be the first to post a comment.

Add a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

error: Content is protected !!